USHAURI KWA FORM SIX WALIOMALIZA 2017,WALIOSOMA MICHEPUO/COMBINATION ZA CBG,PCB,HKL,PCM,PGM,HGE,HGK,HGL,ECA,CBN KUHUSU KOZI NZURI ZA KUSOMEA CHUO KIKUU 2017/2018

Napenda Kuwauunganisha Form 6 leavers na Diploma holder Katika Utambuzi Yakinifu wa kozi za kuchagua ktk level ya degree 
 • Aina ya kozi nzuri ya KUSOMA kutokana na Mchepuo wako wa A-level na kwa diploma holder
 • Marketable course in terms of Employment opportunities
 • Future market ya kozi husika hasa Ktk nchi inayoendelea Kama Tanzania
 • Changamoto husika ya kozi kwa vyuo mbalimbali Tanzania
 • Competition iliyopo Katika uchaguzi wa kozi Mbalimbali
 1. NAPENDA KUKARIBISHA MASWALI, MIJADALA NA HOJA MBALIMBALI KUSAIDIA NDUGU ZETU UNDERGRADUATE KATIKA HATMA YAO YA MASOMO YA NGAZI YA JUU

 • MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi ya PCB na Diploma zinazo relate na hii combination
 1. Doctor of medicine Ina high competition kwa Vyuo vyote Kama ufaulu mdomo kuwa Makin katika kuichagua
 2. Bsc. Pharmacy
 3. Bsc. Nursing
 4. Bsc. Medical laboratory science
 5. Bsc. Microbiology
 6. Bsc. Molecular biology & Biotechnology
 7. Bsc. Biotechnology & Laboratory science
 8. Bsc. Food science & Technology
 9. Bsc. Agronomy
 10. Bsc. Animal science & production
 11. Bsc. Wildlife management
 12. Bsc. Veterinary medicine
 13. Bsc. Forestry
 14. Bsc. Agricultural general
 15. Bsc. With Education
 • MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi ya PCM na diploma zinazo relate na Tahasusi iyo
 • All field of Engineering hasa
 • Civil Eng,
 • Mechanical Eng,
 • Electronics & Telecommunications Eng,
 • Electrical Eng,Computer Eng,
 • Agricultural Eng, Irrigation & Water resource Eng,
 • architecture, Quantity Survey, Geomatics,
 • Actuarialscience, Computer science, ICT,
 • Chemical & Processing Eng
 • Petroleum geology, petroleum engineering, petroleum chemistry
 • Geology,
 • Engineering geology
 • Bsc. With Education
 1. MUONGOZO kwa Tahasusi ya CBG CBG & CBA na diploma zinazo relate na Tahasusi hii
 • ANAWEZA CHAGUA KOZI ZOTE AMBAZO ZIPO KWENYE TAHASUSI YA PCB NB:Kwa MD baadhi ya vyuo Hawatakua na Vigezo vya kudahiliwa bcoz wanaconsider na physics A level
 1. MUONGOZO kwa Tahasusi ya PGM na kozi za diploma zinazo relate nayo
 • ANAWEZA CHAGUA KOZI ZOTE AMBAZO ZIPO KWENY TAHASUSI YA PCM Pia kozi zengine ni Kama Aircraft Maintenance Engineering but Ada yake Iko juu sana
 1. MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi Ya EGM & HGE Na diploma zinazo relate na Tahasusi hii
 • Bsc. Agricultural economics & Agribusiness
 • Bsc. Building Econmics
 • Bsc. Actuarialscience
 • Bsc. Irrigation & Water res Eng, Agricultural Eng (O level Science)
 • Bsc. Architecture
 • Bsc. Geomatics
 • B. A Economics & Statistics
 • Bsc. Computer science , Bsc ICT
 • B.A land management & Valuation
 • B. A Economics
 • B. A Accounting & Finance
 • Bsc. With Education
 1. MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi ya ECA na diploma zinazo relate nazo
 • Bsc. Agricultural economics & Agribusiness
 • B. A accounting & Finance
 • B Business Administrator ( Accounting & Finance)
 • B Banking&Finance, B Economics & Finance, B Procurement & Logistic Supply/Mgt
 • B. A with Education
 1. MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi za HGL, HGK & HKL na diploma zinazo relate na hii Tahasusi
 • LL. B (B. Law)
 • B. Land management & Valuation
 • B. A Human resource management
 • All kozi relate with community development & Planning
 • B. A with Education

No comments